Wikipedia:Babel | ||
---|---|---|
| ||
Search user languages |
Mimi Ibrahim Bakari ni mshiriki wa google health speaks. Ninapenda kutafsiri makala za afya na ninategemea kutafsiri makala nyingi kadiri muda wangu utakavyokua ukiniruhusu, na ninawaalika wengine pia washiriki ili kuleta mabadiliko katika idara ya afya kwa africa na dunia kwa ujumla.