Talk:Leo

Latest comment: 2 years ago by 197.212.168.152 in topic Agent bavvo tz

Agent bavvo tz

edit

Leo tumuangalie huyu mtu ambaye anatamba kwenye masula ya bongo movie anaitwa jonathani joans staa huyu nimuigizaji wa mapambano ya ngumi pia amecheza picha nyingi mfano nani shujaa akishilikiana na seba nyampala agent bavo almasi ya mauti bodaboda ulingowamoto na picha nyingi kwenye ajent bavo alishirikiana na mchina na mwaka 2021 kaja na picha mpya inaitwa mzimu ni hatari anajitahidi kwenye ubunifu hata kwenye movie ya morris alicheza pia na mkali wa zamani badboy usisahau pia mchina wa kwenye agent bavo ana mkubali akasema atampeleka china akapate ujuzi zaidi huyu ndie mkali mr agent bavvo tutaendelea wiki ijayo? — Preceding unsigned comment added by 197.212.168.152 (talk) 14:47, 12 April 2022 (UTC)Reply